Himalaya
From Wikipedia
Himalaya ni safu ya milima katika Asia upande wa kaskazini ya Uhindi. Ng'ambo ya Himalaya ni nyanda za juu za Tibet. Himalaya ina milima mikubwa duniani. Milima 14 mikubwa kabisa ya dunia iko Himalaya.
Kati ya milima mikuwba ni Mount Everest, K2 na Nanga Parbat.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Himalaya" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Himalaya kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |