Johannes Hans Daniel Jensen
From Wikipedia
Johannes Hans Daniel Jensen (25 Juni, 1907 – 11 Februari, 1973) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1963, pamoja na Maria Goeppert-Mayer na Eugene Wigner alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.