William wa Ockham
From Wikipedia
William wa Ockham (takriban 1285 – 9 Aprili 1349 au 1350) alikuwa mwanateolojia na mwanafalsafa kutoka nchi ya Uingereza. Alikuwa mmojawapo wa waanzishaji wa mantiki ya kisasa. Pia alimkosoa Papa.
Cookie Policy Terms and Conditions >