Kidole kikubwa
From Wikipedia
Kidole kikubwa ni kidole cha tatu mkononi. Kiko kati ya kidole cha shahada na kidole cha kati cha kando. Kwa watu walio wengi sana ni kidole kirefu mkononi.
Katika utamaduni mbalimbali ni mwiko kabisa kuonyesha kidole hiki kunatumiwa kwa kusudi la kutukana na kutusi. Lakini kwa wengine hakina maana mabaya hivyo kidole kinaweza kuwa chanzo cha kutoelewana vibaya.