Omar Bongo
From Wikipedia
El Hadj Omar Bongo Ondimba (amezaliwa 30 Desemba, 1935) ni Rais wa nchi ya Gabon tangu mwaka wa 1967. Baadhi ya marais barani Afrika, Bongo ameshika urais kwa muda mrefu kabisa. Alimfuata Leon M'ba akiwa na umri wa miaka 31 tu, na wakati ule alikuwa rais kijana kabisa duniani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Albert-Bernard Bongo.