Port Moresby
From Wikipedia
Port Moresby (9°30′S 147°12′E) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Papua Guinea Mpya. Kuna wakazi 255,000 (2000). Mji uko mwambanoni wa ghuba ya Papua upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Guinea Mpya.
Cookie Policy Terms and Conditions >