Shi'a
From Wikipedia
Shi'a au Shi'ite (kwa Kiarabu: شيعة, kwa Kiajemi: شیعه ) ni dhehebu la pili kwa ukubwa katika dini ya Kiislamu. Waumini wa Shi'a wanafuata mafunzo wanayoamini kuwa yanatoka kwa Mtume Muhammad na mwongozo toka kwa familia yake wanayoiita Ahlul Bayt. Jina Shi'a ni kifupi cha Shi`at `Ali ikimaanisha wafuasi wa Ali. Ali ni binamu na shemeji ya Mtume Muhammad na ni mwanaume wa kwanza kusilimu katika Uislamu.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Shi'a" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Shi'a kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Mbegu | Dini | Uislamu