Wamakua
From Wikipedia
Wamakua (jina lao pia huandikwa Wamakhuwa au Wamakhuwa-Meetto) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara, Wilaya ya Masasi. Kwa wingi wako zaidi Msumbiji. Lugha yao ni Kimakua.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Wamakua" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wamakua kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |