Wamakwe
From Wikipedia
Wamakwe (pia huitwa Wamaraba) ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mtwara. Kwa wingi wako zaidi Msumbiji. Lugha yao ni Kimakwe.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Wamakwe" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wamakwe kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |