Air Tanzania
From Wikipedia
Air Tanzania ni kampuni ya ndege ya taifa la Tanzania. Shirika la Ndege la Tanzania linahudumia vituo vinane - vitano ndani ya nchi na vituo vitatu vya kimataifa. Dar es Salaam hutumika kama kiungio cha safari za anga kati ya viwanja vya ndege vya Entebbe, Hahaya, Johannesburg, Mwanza, Kilimanjaro, Mtwara na Zanzibar.
[edit] Viungo vya nje
- tovuti rasmi ya kampuni ya Air Tanzania
- Ndege zinazotumiwa na Air Tanzania
- Picha za ndege za Air Tanzania
- Uhakiki ulioandikwa kuhusu Air Tanzania