Alphege Mtakatifu
From Wikipedia
Alphege Mtakatifu (takriban 954 – 19 Aprili, 1012) alikuwa askofu mkuu katika mji wa Canterbury. Jina lake pia huandikwa “Aelfheah”. Alitambuliwa kuwa mtakatifu baada ya kuuawa na Wadenmark. Sikukuu yake ni 19 Aprili.