Charles-Albert Gobat
From Wikipedia
Charles-Albert Gobat (21 Mei, 1834 – 16 Machi, 1914) alikuwa mwanasheria na mwanasiasa kutoka nchi ya Uswisi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Ofisi ya Amani ya Kimataifa. Mwaka wa 1902, pamoja na Elie Ducommun alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.