Eastleigh
From Wikipedia
Eastleigh ni jina la
- Eastleigh (Uingereza) ni mji wa Uingereza wa kusini karibu na Southampton katika wilaya ya Hampshire
Kutokana na mji huu ni jina la maeneo yaliyowahi kutawaliwa na Uingereza katika sehemu mbalimbali ya dunia:
- Eastleigh (Nairobi) ni mtaa au eneo la mji mkuu wa Kenya inayopakana na mitaa ya Pangani pia Mathare Valley
- Eastleigh (Edenvale) ni mtaa wa mji wa Edenvale katika jimbo la Gauteng, Afrika Kusini
Jina limetokana na maneno "east" = mashariki na "leigh" kutokana na Kiingereza ya Kale "leah" / "legh" yaani aina ya mti.