Edward Kendall
From Wikipedia
Edward Calvin Kendall (8 Machi, 1886 – 4 Mei, 1972) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya uchunguzi mwingine alichunguza homoni katika gamba la tezi adrenali. Mwaka wa 1950, pamoja na Philip Hench na Tadeus Reichstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.