Euphrase Kezilahabi
From Wikipedia
Euphrase Kezilahabi (amezaliwa 13 Aprili, 1944) ni mwandishi kutoka nchi ya Tanzania. Lugha yake ya kwanza ni Kikerewe lakini huandika hasa kwa Kiswahili ambacho amekipanua kwa kutumia mitindo ya lugha yake ya asili. Baadhi ya maandiko yake ni:
- Rosa Mistika (1971)
- Kichwamaji (1974)
- Dunia Uwanja wa Fujo (1975)
- Gamba la Nyoka (1979)