Eyvind Johnson
From Wikipedia
Eyvind Johnson (29 Julai, 1900 – 25 Agosti, 1976) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Hasa aliandika riwaya. Mwaka wa 1974, pamoja na Harry Martinson alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Cookie Policy Terms and Conditions >