Gerd Binnig
From Wikipedia
Gerd Karl Binnig (amezaliwa 20 Julai, 1947) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza na kubuni hasa aina mbalimbali za hadubini. Mwaka wa 1986, pamoja na Ernst Ruska na Heinrich Rohrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.