Ha
From Wikipedia
ha ni kifupi cha
- Hektari (kipimo cha eneo)
- lugha ya Kihausa (kufuatana na ISO 639-1)
- Hahnium, elementi ya kikemia
Pia ni jina la
- Ha, mungu mmojawapo wa Misri ya Kale
- Ha, mkoa wa Vietnam
- meli ndogo ya kijeshi ya Japan wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia