Kahama
From Wikipedia
Wilaya ya Kahama ni wilaya moja ya Mkoa wa Shinyanga. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 596,456 [1].
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Kahama" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Kahama kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |