Kamusi ya manaa na matumizi
From Wikipedia
KMM ni kifupi cha "Kamusi ya manaa na matumizi" iliyotungwa na professa Salim K. Bakhressa wa chuo kikuu cha Nairobi mwaka 1992.
Kamusi hii inakusanya maneno ya Kiswahili cha kisasa na kuyaeleza katika lugha ya Kiswahili yenyewe.
Inafuata muundo ufuatao:
- kwanza kamusi inataja maana mbalimbali ya kila neno
- pili inataja kila maana katika sentensi ya mfano
[edit] Marejeo
- Bakhressa, Salim K. Kamusi ya manaa na matumizi. Nairobi, Kenya: Oxford University Press, 1992