Karl Adolph Gjellerup
From Wikipedia
Karl Adolph Gjellerup (2 Juni, 1857 – 11 Oktoba, 1919) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Aliandika hasa kuhusu mambo ya dini. Mwaka wa 1917, pamoja na Henrik Pontoppidan alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.