Leon Jouhaux
From Wikipedia
Leon Jouhaux (1 Julai, 1879 – 28 Aprili, 1954) alikuwa kiongozi wa chama cha wafanyakazi kutoka nchi ya Ufaransa. Alisaidia kuanzisha mashirika mbalimbali kwa ajili ya wafanyakazi. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.