Louis Neel
From Wikipedia
Louis Eugene Felix Néel (22 Novemba, 1904 – 17 Novemba, 2000) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa alichunguza sifa za usumaku. Mwaka wa 1970, pamoja na Hannes Alfven alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.