Lugha ya kupangwa
From Wikipedia
Lugha ya kupangwa ni aina ya lugha ya kuundwa. Kwa kawaida, msemo lugha ya kupangwa inatumika kwa lugha zile ambazo ziliundwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu. (Kuna lugha zilizotengenezwa ambazo siyo lugha za kupangwa, kama zile lugha za uzushi na lugha za siri).
Lugha ya kupangwa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto.