Luis Alvarez
From Wikipedia
Luis Walter Alvarez (13 Juni, 1911 – 1 Septemba, 1988) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine, alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1968 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Cookie Policy Terms and Conditions >