Mbotela
From Wikipedia
Mbotela ni neno linaloweza kutaja
- Mbotela (Nairobi) ni eneo (kata) katika tarafa ya Makadara ndani ya jiji la Nairobi
- Mbotela ni jina la watu
-
- Leonard Mbotela, mtangazaji Mkenya wa redio
-
- Walter Mbotela, mtaalamu Mkenya wa Kiswahili ("Jifunze Kiswahili")
-
- James Juma Mbotela, mwanahistoria Mkenya anayefundisha Marekani
-
- James Mbotela, mwandishi wa kitabu cha "Uhuru wa watumwa" (1934)