Nkansi
From Wikipedia
Wilaya Nkansi ni wilaya moja ya Mkoa wa Rukwa. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 208,497 [1].
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Nkansi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Nkansi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |