Pär Lagerkvist
From Wikipedia
Pär Lagerkvist (23 Mei, 1891 – 11 Julai, 1974) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Sweden. Mwaka wa 1951 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Cookie Policy Terms and Conditions >