Ras al-Khaimah
From Wikipedia
Ras Al-Khaimah (Kiar.: رأس الخيمة "Kilele cha hema") ni moja kati ya utemi katika shirikisho la Falme za Kiarabu. Iko katika kaskazini kabisa ya nchi.
Eneo lake ni 1700 km². Kuna wakazi 250,000.
Mtawala wake ni Sheikh Saqr bin Mohammad al-Qassimi.
[edit] Marejeo
[edit] Viungo vya Nje
- RAK e-Government portal
- RAK Police - in Arabic
- Ras Al Khaimah Chamber of Commerce, Industry and Agriculture
- Ras Al Khaimah Business Club
- Ras Al Khaimah Ex-pat community site
- Satellite map of Ras al Khaimah
- Region Map and Satellite Map of Ras al Khaimah
- Space Adventures Announces $265 Million Global Spaceport Development Project