Sam Shepard
From Wikipedia
Samuel Shepard Rogers (amezaliwa 5 Novemba, 1943) ni mchezaji na mwandishi wa micheza ya kuigiza kutoka nchi ya Marekani. Anajulikana hasa chini ya jina la Sam Shepard. Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Pulitzer kwa ajili ya tamthiliya yake iitwayo kwa Kiingereza Burning Child.