Suva
From Wikipedia
Suva ni mji mkuu wa Fiji nchi ya visiwani katika Pasifiki. Iko kwenye kisiwa cha Viti Levu.
Imekuwa mji mkuu wa koloni ya Fiji tangu 1882 badala ya Levuka kwenye kisiwa cha Ovalau.\
1996 mji ulikuwa na wakazi 77,366 na pamoja na rundiko la mji ni 167,975.
[edit] Viungo vya Nje
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Suva" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Suva kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |