Tanga
From Wikipedia
Tanga ni jina la
- Mkoa wa Tanga katika Tanzania
- Wilaya ya Tanga, Tanzania
- Mji wa Tanga
Neno "Tanga" linamaanisha pia
- kitambaa kikubwa kinachokingamishwa kwenye mlingoti wa jahazi
- sarafu ndogo huko Tajikistan (100 Tanga = 1 Rubel)
- aina za chupi za wakinamama zinazohitaji kitambaa kidogo sana
Kuna pia filamu ya Kibrazilia yenye jina la "Tanga" ambamo Tanga ni jina la kisiwa kidogo.