Tsung-Dao Lee
From Wikipedia
Tsung-Dao Lee (amezaliwa 25 Novemba, 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya China; baadaye alihamia Marekani. Hasa alichunguza vipande vya atomu na nadharia yake. Mwaka wa 1957, pamoja na Chen Ning Yang alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.