From Wikipedia
Utegili ni neno la kumaanisha
- Utegili (damu) ni yale majimaji yanayobaki kwenye damu baada ya kuondolewa kwa seli za damu kwenye damu ya vetebrata
- Utegili (seli) ni majimaji ndani ya seli za mwili
- Utegili (fisikia) ni hali ya mada kama gesi ya joto sana inaachana na elektroni
|
Ukarasa huu una maelezo ya maana ili kutofautisha nia mbalimbali zinazolengwa na neno moja.
Chagua maana uliyoikusudi.
Maelezo katika ukarasa huu yawe mafupi, na kwa kila maana kuwe na kiungo kimoja tu ambacho kiunge ukarasa kuhusu nia yenye maana hii. Ukiwa umefika hapa kwa kutumia kiungo katika makala nyingine, tafadhali badalisha kiungo kile kiunge makala iliyokusudiwa moja kwa moja.
|