Wavinza
From Wikipedia
Wavinza ni kabila kutoka kaskazini-magharibi ya nchi ya Tanzania. Mwaka 1987 idadi ya Wavinza ilikadiriwa kuwa 10,000 [1]. Lugha yao ni Kivinza.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Wavinza" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wavinza kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |