Wayao
From Wikipedia
Wayao ni kabila kutoka eneo la kusini ya Ziwa Nyasa. Mwaka 2001 idadi ya Wayao ilikadiriwa kuwa 1,942,000, ambao 1,000,000 wanaishi Malawi, 450,000 ni wakazi wa Msumbiji, na 492,000 wako Tanzania [1]. Lugha yao ni Kiyao.
Makala hiyo kuhusu "Wayao" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Wayao kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |