Wilhelm Wien
From Wikipedia
Wilhelm Wien (13 Januari, 1864 – 30 Agosti, 1928) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza mambo ya mnururisho. Mwaka wa 1911 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Cookie Policy Terms and Conditions >