Yangon
From Wikipedia
Yangon (pia:Rangun) ni mji mkubwa wa Myanmar. Ilikuwa mji mkuu wa nchi hadi 2005.
Kuna wakazi zaidi ya milioni 4. Mji uko kando la mto Hlaing karibu na bahari.
[edit] Picha za Rangun
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Yangon" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Yangon kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |
Categories: Mbegu | Myanmar | Yangon