1095
From Wikipedia
[edit] Matukio
- Koloman anapokea taji na kuwa mfalme wa Hungaria.
- Machi - Kaisari wa Bizanti Alexius I Comnenus anatuma mabalozi kwa Papa Urban II kuomba usaidizi wa kijeshi dhidi ya uvamizi wa Waturuki wa Seljuk.
- Novemba - Papa Urban II kwenye sinodi ya Clermont anatangaza wito la kujiunga na Vita ya Msalaba dhidi ya Waislamu wanaoshambulia Wakristo katika nchi za mashariki.