1885
From Wikipedia
[edit] Matukio
*Uhindi: Kuundwa kwa INC (Indian National Congress) kama chama cha kwanza cha kisasa cha kupigania uhuru wa Uhindi.
[edit] Waliozaliwa
- 7 Februari - Sinclair Lewis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1930)
- 11 Oktoba - Francois Mauriac (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1952)