Adelaide wa Italia
From Wikipedia
Adelaide wa Italia (takriban 931 – 16 Desemba, 999) alikuwa binti wa Rudolf II, mfalme wa Burgundia. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme wa Ujerumani. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.