Bakaffa
From Wikipedia
Bakaffa (alifariki Septemba 1730) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia 18 Mei, 1721 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake, Dawit III. Jina lake la kutawala lilikuwa kwanza Asma Sagad, halafu Masih Sagad. Wakati wa utawala wake, Wahabeshi waliona amani pamoja na ukuaji wa uchumi. Aliyemfuata ni Iyasu II.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Bakaffa" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bakaffa kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |