Bermuda
From Wikipedia
|
|||||
Wito: Quo Fata Ferunt (Kilatini: Pote heri inapotupeleka) |
|||||
![]() |
|||||
Lugha rasmi | Kiingereza | ||||
Hali ya kisiasa | Eneo la ng'ambo la Uingereza | ||||
Mji mkuu | Hamilton (Bermuda) | ||||
Gavana | Sir John Vereker | ||||
Waziri Mkuu | Alex Scott | ||||
Eneo | 58.8 km² | ||||
Wakazi
|
64,482 1 096/km² |
||||
Pesa | Bermuda dollar sawa na US dollar | ||||
Kanda la saa | UTC -4 | ||||
Wimbo wa taifa | God Save the Queen | ||||
Interneti TLD | .bm | ||||
Simu | 1-441 |
Bermuda ni funguvisiwa ya visiwa 130 katika Atlantiki mbele ya pwani la Marekani ambayo ni eneo la ng'ambo la Uingereza. Umbali na Amerika bara ni 1,000 km.
Visiwa vilikuwa bila watu vilipotembelewa mara ya kwanza na Wahispania. Tangu 1615 vilitawaliwa na Uingereza.
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Bermuda" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bermuda kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |