Bonde la Ufa
From Wikipedia
Kwenye fani ya Jiologia, bonde la ufa ni bonde ambalo limeumbwa kutokana na mporomoko wa ardhi kukata ufa. Bonde la Ufa (kabambe) ndio mojawapo ya mabonde maarufu zaidi kwa dunia. Mabonde ya ufa ya huumbwa kutokana na mvutano wa [[tektonika|tufe za tektonika. Mvutano huu huleta utengano wa matufe hayo ya tekntonika. Bonde la ufa latokea kama mzamo wa arthi ambao ni Grabenia kati ya pasuko mbili, ama ardhi kusonga kwa njia ya wima. Mabonde ya ufa, hasa yasemekana ya husika ama ina ubavu na volkano.
Mabonde ya ufa ambayo yameendelea zaidi, yanapatikana kwa mifumo ya kati ya migongo ya bahari ambayo inafanya chini ya bahari kusambaa. Mabonde ambayo yako sasa, mengi yametokana na kuangamia kwa mkono wa mikutano mitatu, mabonde haya yaitwa (aulakogenia), mafano ni kama wa Ugubaji wa Mississippi na Bonde la Rio Grande eneo la Marekani ya Kaskazini.