Bunda
From Wikipedia
Wilaya ya Bunda ni wilaya moja ya Mkoa wa Mara. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 260,000 [1].
![]() |
Makala hiyo kuhusu "Bunda" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Bunda kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |