Burton Richter
From Wikipedia
Burton Richter (amezaliwa 22 Machi, 1931) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu. Mwaka wa 1976, pamoja na Samuel Ting alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Cookie Policy Terms and Conditions >