Camillo Golgi
From Wikipedia
Camillo Golgi (7 Julai, 1844 – 21 Januari, 1926) alikuwa daktari kutoka nchi ya Italia. Hasa alichunguza mfumo wa neva. Mwaka wa 1906, pamoja na Santiago Ramon y Cajal alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Cookie Policy Terms and Conditions >