Dola Huru
From Wikipedia
|
|||
Mji Mkuu | Bloemfontein | ||
’‘‘Mji Mkubwa’’’ | Bloemfontein | ||
Waziri Mkuu | Beatrice Marshoff (ANC) | ||
Eneo - Jumla |
Nafasi ya 3 kati ya majimbo ya Afrika Kusini 129,480 km² |
||
Wakazi - Jumla (2001) - Msongamano wa watu / km² |
Nafasi ya 8 kati ya majimbo ya Afrika Kusini 2,706,776 21/km² |
||
Lugha | Sotho (62%) Kiafrikaans (14%) Kixhosa (9.5%) |
||
Wakazi kimbari | Waafrika Weusi(88.0%) Wazungu (8.8%) Chotara(3.1%) Wenye asili ya Asia(0.1%) |
||
edit |
Dola Huru ni moja kati ya majimbo tisa ya Afrika Kusini. Mji mkuu ni Bloemfontein ambayo ni pia makao ya mahakama kuu ya taifa. Jimbo lilianzishwa 1994 kwa kuunganisha jimbo la awali la Dola Huru la Oranje na maeneo ya bantustan kadhaa hasa QwaQwa. Jina la zamani lilifupishwa 1995 kuwa "Dola huru" (King.:Free State, Kiafrikaans: Vrystaat).
[edit] Jiografia
Dola Huru liko kwenye tambarare katika kitovu cha Afrika Kusini ni hasa eneo la kilimo. Mashamba yake huzalisha zaidi ya 70% za mazao yote ya Afrika Kusini.
Kuna pia migodi mikubwa ya dhahabu na almasi jimboni.
Upande wa kusini dola huru limepakana na Lesotho.