Egwale Seyon
From Wikipedia
Egwale Seyon (alifariki 3 Juni, 1821) alikuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi kuanzia Juni 1801 hadi kifo chake. Alikuwa mwana wa Hezqeyas. Alimfuata Demetros. Utawala wake ulisumbuliwa sana na vita miongoni mwa wana wafalme. Aliyemfuata ni Iyoas II.