Giorgos Seferis
From Wikipedia
George Seferis (13 Machi, 1900 – 20 Septemba, 1971) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giorgios Stylianou Seferiades. Miaka ya 1957-1962 alikuwa balozi Mgiriki kwa Uingereza. Mwaka wa 1963 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.